WEMA AMFANYA DIAMOND HAOUSE BOY NYUMBANI KWAKE AMFUNGIA NDANI MCHANA KUTWA, AFUMWA AKIWA NA NDOO YA MAJI KICHWANI...!
Na Sakina Shabani
NYOTA asiye na mpinzani katika muziki wa kizazi kipya kwa
sasa, Nasib Abdul ‘Diamond’ ambaye amerejesha penzi lake kwa malikia wa filamu
Tanzania, Wema Sepetu, anadaiwa kuhamia nyumbani kwa mrembo huyo mwenye
kuongoza kwa mikasa Bongo, aishiye Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.
" LINAPATIKANA MTAANI LEO HADI IJUMAA DAKA KOPI YAKO"
Comments
Post a Comment