HAKI YA MUNGU USINGIZI HAUNA BAUNSA, HATA UWE MJANJA VIP LAZIMA UKUMBANE NAO, TAZAMA BODA BODA WALIVYONASWA KIJIWENI:

 Je ni yupi kati ya hawa anayefaidi usingizi wake? na ni yupi aliye na usingizi salama? Dereve wa Bodaboda akiwa ameuchapa usingizi katika pikipiki yake huku akiwa pembezoni mwa barabara inayotumika na magari bila kujali usalama wake kama alivyonaswa na kamera hivi karibuni, jijini Dar es Salaam.
Huyu naye ndiyo kabisa amemaliza kila kitu akiwa ameuchapa usingizi huku akiwa amejinyoosha juu ya p

Comments

Popular Posts