NUH MZIWANDA NA SHILOLE WAONEKANA ZENJI WAKILA BATA, NUH AWA KIVUTIO NA KIPIMAJOTO CHA SHILOLE

Paparazi wetu aliyeko huko Zanzibar alifanikiwa kuwanasa Shilole na Nuh akiwa na Mahabuba wake, Asali wake wa Roho,tunda lake la Roha la kufa na kuzikana na Tattoo wakila bata huko zenji,
Inasemekana Nuh na Shilole walienda Nzenji kwa ajili ya mapumziko baada ya hivi karibuni kuzinguka Mkoa mingi kwenye show za Kill ambapo kwa sasa zimesimamishwa mpk mfungo wa Ramadhani utakapoisha na kuendelea na Mikoa mengine iliyobakia, Pamoja na bata zote hizo lakini Nuh alionekana akishowa love kwa kutembea na pochi ya mpenzi wake kila kona bila hata aibu wala wasi wasi,

Comments

Popular Posts