BAADA YA KU-POZI KWA WIKI MOJA.... WEMA SEPETU AMECHAFUA INSTAGRAM KWA KU-POST PICHA ZAIDI YA 20

Kabla yakuziweka aliandika hivi:

Naanza hivi... Maana i havent posted pics tokea juzi if i aint mistaken... Si mnanijua nikianza... Tusichokane tu... Dat was siku ya Eid... At my place... Nikiwa na wii akee @esmaplatnum pamoja na kaka manager @martinkadinda ...'






Comments

Popular Posts