HIZI NDIO PICHA CHAFU ZA RIHANNA ZINAZOMAKE HEADLINE KWA SASA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII




Duh basi bana ndo hivo hizi picha ni za rihana na ndo zitatumika katika gazeti la Esquire magazine UK ambalo linatarajiwa kutoka mwezi wa 12 mwaka huu. picha nyingi katika hizi Rihana 
anaonekana akiwa hajavaa nguo ya Juu. Picha hizi zimezua gumzo sana instagram kwa watu kuziongeea sana. Ikumbukwe kua akaunti ya rihana ya Instagram imefunguliwa juzi juzi tu ikiwa ni baada ya Instagram kuifunga chanzo kikiwa ni kupost picha zisizo na maadili…..





Comments

Popular Posts