Angalia/hakikisha kama simu yako ni  original

Step 1
Chukua serial namba ya Simu yako (IMEI) kwa kubonyeza *#06#

Step 2
Tuma serial namba (IMEI) kuenda namba 15090 (Bure) mitandao yote Tz.

Utapata ujumbe unaokuonyesha aina ya Simu na model yake kama Simu yako ni original. Kama ni fake, ujumbe utakaopewa utakuwa tofauti na jina au model ya simu yako.

Simu zote fake zitafungwa mnamo tarehe 30/06/2016. Usiseme sijakwambia.

Comments

Popular Posts